Msanii wa muziki mkongwe hapa nchini Barnaba anaendelea kutamba katika katika tasnia yake ya musiki kwa kuachia wimbo wake mpya unao kwenda kwa jina "TUNAFANANA" ambao ameachia wimbo huo jana. Video hiyo imeongozwa na director kutoka "KWETU STUDIO" anayeitwa "Travellah".