Nguvu Mpya Ya Lady Jaydee Anayotamba Nayo Hii Hapa,

Msanii wa kike kutoka Tanzania Lady Jaydee amekuja na mdundo mpya ambao ni moja ya nyimbo inayofanya vizuri kwa muda mfupi tu toka itoke , Nyimbo hiyo inayokwenda kwajina la "ANAWEZA" akimshirikisha Luciono. Bofya hapa chini kuitazama.